Top Stories

Dereva asafirisha matofali kwenye Ambulance

on

Leo March 26, 2019 Naibu Spika wa Bunge la Uganda Jacob Oulanyah ameandika katika ukurasa wake wa Twitter  kuwa dereva aliyepakia matofali katika gari la kubeba wagonjwa atashtakiwa.

Katika ukurasa wake Oulanyah amesema kuwa dereva huyo amevunja sheria za utumishi wa umma kwa kutumia vibaya gari hilo.

POLISI WAMEUA MAJAMBAZI WATANO, WAMEKUTWA NA SMG MOJA YA KUCHEZEA WATOTO ‘TOY’

 

Soma na hizi

Tupia Comments