Duniani

Kisa cha mume wa mtu kilivyoweka sura ya mrembo kwenye mabango barabarani Uganda

on

Unaambiwa kitu cha mtu ni noma mtu wangu !! Kama  uko karibu na stori za mitandaoni huenda umekutana na stori ya picha ya mrembo iliyobandikwa barabarani ikiwa na ujumbe kwamba mwanamke huyo anaombwa aachane na mume wa mtu !!

Kama umekutana na hiyo picha na kisa hujui kisa kimetokea wapi, hiyo ni ishu ambayo imetokea Uganda, stori nimeikuta kwenye ukurasa wa mwandao wa Citizen wa Kenya, ambao wamemtaja mwanamke huyo kuwa anaitwa Hellen Aturinda.

Jamaa walioshuhudia kila kitu wamesema zilibandikwa picha kama 50 hivi kwenye kuta na nguzo barabarani, Hellen Atulinda akiandikiwa ujumbe wa kuonywa aachane na mume wa mtu >’Home breaker Hellen Aturinda, leave my husband alone!‘<

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments