Ni Mei 28, 2022 ambapo wakazi wa Mwanza wakijiandaa kupata burudani kutoka kwa Diamond Platnumz itakayofanyika pale The Cask Bar usiku wa leo.
Sasa najua wajua Baba Levo na Mwijaku hawezi kukaa mahali pasipo kupeana Maneno, tazama hapa mpaka Diamond akaamua kuingia ugomvi wao.