Top Stories

Ugonjwa wa Ebola umeripotiwa kurudi nchini Congo

on

Congo imeripoti kisa kipya cha Ebola wakati zikiwa zimesalia siku tatu tu Nchi hiyo itangazwe rasmi kutokuwa na ugonjwa wa Ebola, zimepita siku 52 sasa bila kisa kipya tangu mgonjwa wa mwisho wa Ebola apone Congo, kwa upande wa virusi vipya vya corona, Congo ina visa 60 na vifo vitano.

CORONA TANZANIA: VIFO VYAONGEZEKA, WALIOPO KARANTINI 120, WANAOFUATILIWA 280, MAAMBUKIZI 32

 

Soma na hizi

Tupia Comments