Top Stories

Ugonjwa wa Ebola wawili wafariki nchini Congo

on

Congo imeripoti vifo viwili vipya vya Ebola wakati huu ambapo zilibaki siku chache Nchi hiyo itangazwe kutokuwa na ugonjwa wa Ebola, WHO Afrika imesema tayari vituo vya kutolea chanjo vimeanza kazi kwa kasi ili kudhibiti maambukizi, upande wa corona Congo ina visa 60 na Vifo 5.

CORONA TANZANIA: MAAMBUKIZI YAONGEZEKA, WALIOPO KARANTINI 84, WANAOFUATILIWA 590, WAMEPONA 7

ULIKOSA UJUMBE MZITO WA ELIZABETH MICHAEL KUHUSU KUMPOST MTOTO WA HAMISA ALIEZAA NA MAJIZO 

 

Soma na hizi

Tupia Comments