AyoTV

Atakavyopokelewa Rais Magufuli siku ya Uhuru Dodoma (+Video)

on

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Bilinith Mahenge ametoa Taarifa fupi kuhusu maandalizi yaliyofanyika kumpokea Rais John Pombe Magufuli siku ya Maadhimisho ya Sherehe za UHURU zitakazofanyika kitaifa Dodoma December 9 , 2017 katika uwanja vya Jamhuri.

RC Mahenge amesema…>>>“Tangu Rais Magufuli atangaze kuhamishia makao ya nchi Dodoma zikiwemo Wizara, Serikali imekuwa ikielezeza shughuli nyingi na nyeti za kitaifa kufanyikia hapa Dodoma

Serikali imeuteua mkoa wa Dodoma kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya sherehe za kumbukumbu ya kutimiza miaka 56 ya uhuru wa Tanzania bara itakayofanyika December 9, 2017 katika viwanja vya jamhuri ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais John Magufuli ” –RC Mahenge

Polisi Dodoma kuhusu jamaa aliyetengeneza tukio la kuvamiwa

Soma na hizi

Tupia Comments