U-heard ya leo February 28 2017 inamuhusu Steve Nyerere anaye daiwa kutokulipia Eneo alilofanyia Press yake mnamo february 25 alipokuwa na mazungumzo na Waandishi wa habari kuelezea sakata lake sauti yake iliyosambaa ya mazungumzo ya simu kati yake na Mama wa Mwigizaji Wema Sepetu..
Steve alimjibu Soudy >>> “Ni moja ya njia za kukuchafua tu, kwenye Mitandao na kila mtu anahaki ya kuandika na kusema sasa ndo linakuja hilo unaloliongea wewe baada ya kufanya maendeleo na ku-focus kwenye maendeleo”
“Hakuna moto ingekuwa kitu cha moto we ungekuwa ushawaka, nimelipa cash na risiti ipo, tuendelee na maisha mengine tusiliongee hilo hao wanatafuta njia ya kumchafua mtu”
Bonyeza Play kusikiliza full story
Ulipitwa na Steve Nyerere alivyotokwa machozi, aongelea simu ya Mama Wema
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.