Habari za Mastaa

PART 1: ‘Nilipewa siku saba ikabidi nijiingize kwenye michezo hiyo’ (+Video)

on

Kutana na Said Mfaume ambaye amekaa kwenye Exclusive interview na Ayo Tv amefunguka mengi kuhusu kazi yake ya ualimu wa ‘Kung Fu’ huku akiwa ameeleza safari nzima iliyomsukuma mpaka kupenda kujiingiza kwenye michezo hiyo.

Said Mfaume ambaye amefunguka na kusema kuwa walezi wake walimpa changamoto kubwa lakini alipambana na kuhakikisha anatimiza ndoto zake. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho stori ya Said Mfaume.

VIDEO: SAIDA KAROLI ‘NILIDHANI NITAKUFA KABLA YA RUGE, DR MENGI AMENIPINGANIA KAONDOKA”

Soma na hizi

Tupia Comments