Habari za Mastaa

Clouds Plus ilivyo waunganisha Mastaa na watoto wasiojiweza kufturu pamoja (+video)

on

June 1, 2018 Clouds Plus wameadhimisha mwaka mmoja tangu kuanza kutazamwa ambapo sherehe hizo wakaamua kuwakutanisha mastaa na watoto wasiojiweza wa kwenye kituo cha watoto cha IJANGO ZAIDIA ORPHANAGE CENTER.

Mastaa hao walio hudhuria walipata nafasi ya kufanya mahojiano na Ayo TV karibu kutazama ilivyokuwa kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO:Usitegemee kuwaona Dullvan na Jaymond wakifanya haya mwezi wa Ramadhani

EXCLUSIVE: Muigizaji Batuli kazungumza Mwandishi aliyemchafua

Soma na hizi

Tupia Comments