Mix

PICHA 4: Rais Kenyatta akicheza na ku-Dab na kundi la FBI

on

Rais kwa kenya Uhuru Kenyatta amechukua headlines kwenye mitandao baada ya picha zake aikwa anacheza na  kupiga dab akiwa na vijana wa kundi la FBI Dance Crew. 

Rais Uhuru amekua akihimiza Raia haswa vijana wa Kenya kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa Kenya utakao fanyika mwishoni mwa mwaka huu.

VIDEO: Alikiba alivyotumbuiza Kenya kwenye Mombasa Rocks Music Festival, tazama kwenye hii video haoa chini

Soma na hizi

Tupia Comments