Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha ya mastaa hawa yazua utata kwenye mitandao ya kijamii…(+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Picha ya mastaa hawa yazua utata kwenye mitandao ya kijamii…(+Audio)
Habari za Mastaa

Picha ya mastaa hawa yazua utata kwenye mitandao ya kijamii…(+Audio)

April 28, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

April 28 2016 Soudy Brown ametuletea hii ya mastaa wawili kudaiwa kutoka kimapenzi baada ya picha yao kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, kama hukupata time ya kuisikiliza hii usijali nimerecord Full stori na utaipata hapa millardayo.com.

Shilole na Moni wa Central zone wanadaiwa kutoka kimapenzi baada ya picha yao kusambaa ikiwaonesha kama wanapulizia moshi midomoni kwao …..>>>’kusema ukweli mimi sijui hiyo picha ikoje na sio kweli mimi sitoki na shilole na haijawahi kutokea alafu mimi naomba tuongelea kazi zangu‘:-Moni Central Zone

>>>’Alafu nimeona picha yenyewe kwaza huyo dogo sijui anataka kiki maana picha yenyewe ilikuwa ni clip kwa ajili ya shoo ya Tanga alafu mimi nina Boyfriend wangu asitake kunigombanisha na mpenzi wangu‘:- Shilole PhotoGrid_1461848664666

BONYEZA PLAY KUSIKILIZA FULL STORI PIA USISAHAU KUNIACHIA COMMENT YAKO …

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA MANENO YA MR. BLUE NA MJ RECORDS KUHUSU MR II KUCHUKUA WIMBO WA MR BLUE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI…

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

TAGGED: U Heard
Millard Ayo April 28, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Exclusive: Picha 10 kutoka ndani ya studio, hapa ni Baraka Da Prince na Alikiba….
Next Article VIDEO: ‘Wachawi wanaendelea kuroga’ Spika wa Bunge Job Ndugai
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023

You Might also Like

Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Sports

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

September 29, 2023
Sports

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

September 29, 2023
Sports

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?