Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Bibi Cheka amekubali kupatwa na jini la kike, kayazungumza yote hapa..

on

Bibi ChekaKwenye U Heard ya February 16 2015 Bibi Cheka ndio kahusika ambapo kwenye siku za karibuni  alikuwa anaumwa na sasa kazungumza mengine yaliyokua yanamsumbua.

Gossip Cop Soudy Brown ameongea nae na kukiri kwamba alikuwa akisumbuliwa na jini la kike lililokuwa linawavamia watu wanaocheza kamali na kuchukua hela pamoja na kula kuku mtaani, yeye alikumbana nalo nje ya choo nyumbani kwake na kuanguka chini ndipo alipoenda Hospitali na kupatiwa matibabu bila mafanikio, baadaye alienda kwa mtaalam ambaye alimsaidia na kupona.

Bonyeza play hapa chini uisikilize stori yote na yeye mwenyewe akiongea……

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments