Habari za Mastaa

Soudy Brown ana tetesi hizi za mastaa wawili.. Kamtaja Jokate na Ali Kiba.. #UHeard

on

JOKATWEE

Soudy amesema alipata tetesi za uhusiano wa mastaa wawili Bongo Fleva, wameonekana pamoja sehemu nyingi.. hajawataja majina, lakini akamtafuta Jokate.

Soudy Brown: ‘Unafahamu hata kama Ali Kiba alivamiwa? Ulimpigia simu kumpa pole?

Jokate: ‘Kwa nini?

Soudy Brown: ‘Aaaah… unauliza kwa nini tena, Ali Kiba si mchumba wako..?

Jokate: ‘Haaa haa haa.. Soudy hebu niache kwanza, naumwa.. unanichekesha hapa

Isikilize U Heard yote hapa..

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments