Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kuna ukweli wowote hii ishu ya Director wa Bongo Movie kumwingilia kinguvu mwigizaji?? #UHeARD
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Kuna ukweli wowote hii ishu ya Director wa Bongo Movie kumwingilia kinguvu mwigizaji?? #UHeARD
Habari za Mastaa

Kuna ukweli wowote hii ishu ya Director wa Bongo Movie kumwingilia kinguvu mwigizaji?? #UHeARD

April 23, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

 dark-room

Hii ishu imefika mezani kwa gossip cop Soudy Brown .. inahusu mwanafunzi ambae amelalamika kwamba ilikuwa mara yake ya kwanza kuigiza, ikatokea director mmoja wa bongo movie akamwingilia kinguvu.

Dadake msichana huyo amesimulia kwamba walikuwa location kufanya movie, director huyo akamuita mdogo wake kwenye chumba chake na kumwingilia kwa nguvu.

Msichana aliyefanyiwa kitendo hicho amesema hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuigiza.. siku ya tukio walikuwa location, director huyo akamuita kwenye chumba cha wanaume ili amuelekeze kitu, alipoingia akamfanyia kitendo hicho.. alijaribu kupiga kelele lakini watu hawakusikia na alishindwa kutoa taarifa kwa kuhofia kupata aibu.

Kusikiliza stori yote bonyeza play hapa chini…

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: U Heard
Millard Ayo April 23, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kajala kaamua kuuza Pishu mwenyewe?? Ishu ya Hakimiliki nayo kwani ikoje eti? >>#255 (audio)
Next Article Kiungo huyu anaweza kuwa mbadala kuvaa viatu vya Steven Gerrard ndani ya Liverpool?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?