Habari za Mastaa

Majibu ya mwigizaji Rose Ndauka baada ya kuhusishwa na matatizo ya ndoa ya Shetta.. #UHeaRD

on

maxresdefault (1)Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kwamba ndoa ya msanii Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa Shetta anamahusiano na mwigizaji Rose Ndauka.

Soudy aliamua kumtafuta Rose Ndauka, majibu yake yalikuwa hivi; Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli kile ambacho amesikia ni ukweli yeye kama mwanamke anapaswa kuwa strong asiondolewe nyumbani kwake kwa sababu ya mwanamke mwingine..

Kusikiliza stori yote ya U Heard bonyeza play hapa chini..

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribeYouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.  

Soma na hizi

Tupia Comments