Mtangazaji Adam Mchomvu alikuwa akiendesha show ya XXL leo APRIL 6, kwenye U Heard yake akasema inahusu picha aliyopost msanii Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa wamevaa nguo nyeupe na kuandika “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi…. Alhamdulillah”@diamondplatnumz
Post hiyo ilizua story nyingi ikiwemo watu kuhisi kwamba wawili hao wamefunga ndoa.
Studio alikuwepo mwanasheria ambae amesema ndoa ni maridhiano kati ya watu wawili na watu wanapoishi pamoja zaidi ya miezi mitatu ni wanandoa halali.
Ili kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…
Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook