Habari za Mastaa

Alikiba amejibu haya kuhusu post ya Ben Pol aliyomwandika… (#UHeard)

on

Hakuna maelewano mazuri kati ya Ben Pol na Alikiba? Kama ulipitia mitandaoni au ulisikia ishu ya Tweet ya Ben Pol aliyomzungumzia Alikiba na kila mtu alitafsiri kivyake.

Soudy Brown akaona amcheki Alikiba ambaye amesema yeye amechukulia poa post ya Ben Pol kwa sababu yeye ni muungwana na anamtanguliza MUNGU mbele… hana ubaya wowote na Ben Pol.

Najiona nina mchango mkubwa kwenye Bongofleva na ni mmoja ya malegendary wakubwa ambao bado tupo kwenye muziki… Ben Pol sio rafiki lakini ni msanii mwenzangu na tunaheshimiana… tuko vizuri, sina mambo ya kuweka vitu rohoni‘- Alikiba.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments