Habari za Mastaa

Mpoki naye kwenye Ubunge Kilombero? Yasikie majibu yake kwa Soudy Brown…#Uheard (Audio)

on

Mpoki TT

2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao?

Tetesi zikamfikia Soudy Brown kwamba jamaa nae kaamua kuingia kwenye mchakato huo kimyakimya… Soudy akamcheki jamaa, majibu yake ni kwamba hajatangaza na wala hana mpango huo, kwa sasa ni yeye na shughuli yake ya usanii wa kuchekesha.

Msikilize hapa mtu wangu

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments