Habari za Mastaa

Young Killer kazungumzia deni analodaiwa na Edo Boy, issue ya mahakamani je? ..#Uheard (Audio)

on

kila

Young Killer na Edo Boy jana walisikika kwenye Uheard kuhusu kuwa na beef hadi kupelekena polisi kisa deni, lakini Edo Boy hakutaka kuweka wazi mambo hayo lakini Soudy Brown hakuridhika na majibu yake.

Leo Soudy akaona  si vibaya akimtafuta muhusika ambaye ni Young Killer ili kuujua ukweli na mwenyewe amesema Edo Boy kwake ni kama mwanafunzi wake kwa kuwa amemtoa mbali na alikua akiishi naye kama ndugu na hata vitu walikua wakitumia pamoja.

Anasema yeye ndio alikwend Polisi na kukuta mashtaka ya Edo Boy kuwa anamdai laki mbili, anasema ni kweli lakini alimpa tu kama ndugu na hakuwahi kufikiria kama angeweza kuja kumdai ama kumfikisha Polisi kwa kiasi hicho cha Pesa.

Msikilize mwenyewe akizungumza na Soudy…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments