Kwenye mtandao wa kijamii wa Whatsapp kumesambaa sauti ya msanii Kala Jeremiah inasikika akimlalamikia kwa ukali mshkaji mmoja.
Kala amesema ameshangazwa na hatua ya kijana huyo kulalamika kwenye mtandao wa @Instagram kwamba amenieleza habari za msiba na kudai mimi nimemtukana.
Msikilize hapa …
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.