Habari za Mastaa

Kuna ugomvi kati ya Luteni Kalama na Inpector Haroun? #Uheard (Audio)

on

kalama

Jana kupitia akaunti yake ya @Instagram mke wa Luten Kalama ametoboa mambo mengi kuhusiana na kundi la Gangwe Mob ambalo kwa sasa lina mgogoro mzito.

Luteni Kalama mwenyewe amesema anashangaa kusikia Inspekta Haroun  anasambaza maneno kwa watu kuwa yeye anazuiwa kufanya kazi na mke wake…ametoboa kuwa hata akipewa ela ya shoo anaenda mwenyewe na anampa ela ndogo tofauti na makubaliano yao..anasema ugomvi wao umedumu kwa  takribani miaka nane.

Mke wake amesema aliwahi kwenda Dar Live akapigwa na mashabiki wakidai yeye ndio anaua kundi la Gangwe Mob kitu kinachotishia maisha yake..

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments