Habari za Mastaa

Utaipenda You heard ya Soudy Brown na Mzee Majuto !!

on

majutooHii imetokea nchini Congo baada ya mmoja kati ya waandaaji wa Matamasha (Promota) kumhitaji Mzee Majuto lakini kwa bahati mbaya Mwenyewe hakufanikiwa kufika sehemu alizoandaliwa show hizo ambazo zilikua Congo na Burundi.

Soudy Brown ameongea na Jimmy Redstar ambaye ndiye Mkurugenzi wa Cash Money Team iliyopo Uvira Congo na kuzungumzia mkasa mzima, Mzee Majuto pia kafanikiwa kuongea na Soudy Brown.

Bonyeza play kuwasikiliza hapa chini…

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyezahapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahaukusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video yaAyoTVikufikie

Soma na hizi

Tupia Comments