Habari za Mastaa

Ommy Dimpoz kapost picha Instagram.. watu wakaandika comment zao.. Iko kwa Soudy Brown tayari !!

on

Ommy

Soudy Brown leo amekutana na story iliyoanzia Instagram, msanii Ommy Dimpoz kaweka picha ambayo watu waliopita kwenye ukurasa wa staa huyo wameandika comment tofauti tofauti.

Soudy alimtafuta Dimpoz akamuuliza kuhusu picha hiyo.. Ommy majibu yake ilikuwa hivi; “mimi nimepost picha kawaida tu…  oya ntakupigia mwanangu

Kusikiliza stori yote bonyeza play hapa chini…

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments