Habari za Mastaa

Taarifa za Petitman Wakuache kupata mtoto wa pili kutoka kwa mwanamke wa Kalala Junior..(U Heard +Audio)

on

U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM March 3 inamhusu Petitman kutarajia mtoto wa pili kutoka kwa mwanamke wa msanii kutoka Bendi ya Twanga Pepeta Kalala Junior. shwari Petit hayupo kasafiri kaenda South Africa  mimi ni mdogo wake labda umpigie kwa whatsapp, mimi ninachojua kaka hatarajii mtoto>>>Mdogo wake Petitman 

Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments