Habari za Mastaa

Hasheem Thabit hakumsahau Jokate kwenye hili

on

Siku ya March 20,2018 mwanamitindo Jokate alisherekea siku yake ya kuzaliwa na alipost kwenye mtandao wake wa instagram na hivyo watu mbalimbali walipata nafasi ya kumtakia heri katika misha yake wakiwemo mastaa mbalimbali ambao walimpost kwenye page zao za instagram.

Kwa upande wa aliyekuwa mpenzi wake Jokate, Hasheem Thabit hakutaka siku ya mwanadada huyo ipite bila kumpatia zawadi kwenye siku yake ya kuzaliwa, kupitia instagram account ya Jokate alipost maua aina ya rose aliyopewa na Hasheem Thabit na kushukuru kwa maua hayo.

Jokate aliandika……>>>“Bado napokea zawadi za maua Asante Sheemy @hasheemthedream

Ulipitwa na maneno ya Prof Jay kazungumza kuhusu Sugu kufungwa gereza la VIP???

Soma na hizi

Tupia Comments