Mix

PICHA 6: Rais Uhuru Kenyatta alivyokabidhi magari mapya 500 ya polisi

on

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mwanzoni mwa wiki hii amezindua awamu ya tatu ya utoaji wa magari kwa idara ya polisi ambapo amekabidhi kikosi hicho zaidi ya magari mia tano.

Magari hayo ni pamoja na yale ya kivita na ya usafirishaji wa maafisa wa polisi na yanatarajiwa kuboresha usalama nchini humo. Akizungumza kwenye uzinduzi huo Inspekta Jenerali wa polisi Joseph Boinet amesema…..

>>’Tumezindua magari madogo 50, malori mia moja na lori ndogo 350 na pia magari maalum yaani m-raps 25, magari hayo 25 kutoka China yana uwezo wa kuhimili risasi mabomu ya kutegwa ardhini’

VIDEO: Gobless Lema kapelekwa Mahakamani tena leo Jan 18 2017, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments