Mix

Maandalizi nje mpaka ndani ya Uwanja wa Uhuru Dar atakapoapishwa Dk. Magufuli.. +Pichaz 11

on

Historia ya siasa Tanzania kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 ilikuwa ni lazima ikamilishwe kwa matukio kadhaa, kati ya hayo liko tukio la kupatikana Wagombea viti vya Udiwani, Ubunge na pia kupatikana kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Screen Shot 2015-11-04 at 2.11.57 PM

November 05 2015 itakuwa siku nyingine kubwa, anaapishwa Rais wa Tanzania ambaye ataingia kushika nafasi ya Rais Jakaya Kikwete.

Shughuli yote itakuwa Live Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, maandalizi ya shughuli yenyewe je?

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.13 PM

Ripota wa millardayo.com ameingia ndani ya Uwanja wa Uhuru, Temeke Dar es Salaam na yuko tayari kukusogezea kinachoonekana nje mpaka ndani, kona mpaka kona ya Uwanja huo inavyoonekana saa chache kabla ya kushuhudia tukio lenyewe.

 

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.43 PM

.

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.05 PM

Katikati ya Uwanja kuna jukwaa lenye red carpet ambapo Rais mteule ataapishwa.

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.30 PM

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.51 PM

Kwenye fensi ya Uwanja zinaonekana bendera za TZ zikiwa zinapepea.

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.59 PM

Screen Shot 2015-11-04 at 2.13.07 PM

Huu ni muonekano wa pembeni ya geti la kuingilia Uwanjani.

Screen Shot 2015-11-04 at 2.13.15 PM

Screen Shot 2015-11-04 at 2.12.36 PM

Hapa ni Jukwaa Kuu, Viongozi wakuu wa TZ pamoja na wageni wengine waalikwa kama Mabalozi, Marais wa nchi nyingine walioalikwa na wengineo watakaa kushuhudia tukio zima la kuapishwa Dk. John Magufuli.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments