Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: DC Jokate kamuomba msamaha Pierre na kumpa dili (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > DC Jokate kamuomba msamaha Pierre na kumpa dili (+Audio)
Habari za Mastaa

DC Jokate kamuomba msamaha Pierre na kumpa dili (+Audio)

March 31, 2019
Share
2 Min Read
SHARE

DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo ambaye alikuwa mwenye shughuli ya harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa shule ya bweni ya wasichana kwenye kampeni ya ‘Tokomeza Zero’ ametumia ukurasa wake wa instagram kumshukuru Pierre kwa kuhudhuria pamoja na kuchangia Tsh laki moja kwaajili ya ujenzi.

DC Jokate pia amempa Pierre dili katika mradi wa ujenzi wa shule hiyo ya bweni katika Wilaya ya Kisarawe ikiwa shule hiyo itahitaji madawati basi dili hilo amepewa Pierre kutokana na yeye kuwa muuzaji wa furnitures maeneo ya Keko jijini DSM kabla ya umaarufu.

“NIMERUDI!!Hakuna maneno Muhimu na Machache katika ustawi wa maisha ya Binadamu kama Tafadhali, Asante na Samahani.Katika Dhifa niliyoiandaa jana, nilialika watu wengi, Wanasiasa, Taasisi za Kiserikali, Mabalozi, Wafanyabiashara, Wajasiriamali, Wasanii, Wadau wa Burudani N.k.
Na Makusudio ya yote hayo wote tunayajua, ni kutafuta MOTISHA juu ya ELIMU ya Mtoto wa kike, Kisarawe na kote nchini”

“Na kwangu mimi na Wilaya nzima ya Kisarawe wote waliofika jana ni muhimu sana sana kwangu na kwetu. Kipekee kabisa nimshukuru @officialpiere_liquid wako watu maarufu wengi mno tuliowaalika lakini hawakufika. Ila wewe ulichukua muda wako kuhamamisha na kufika na zaidi ya hapo ukatoa mchango wa TSH LAKI MOJA!!! Hukuja kuuza sura tu!! Nasema ASANTE SANA. Wana Kisarawe tunakupenda na tunakukaribisha kuwekeza Kisarawe uanzishe hata mgahawa tutakusaidia kupata eneo. Lakini pia nimesikia ni mtengeneza mzuri sana wa furniture”

“Hii Shule tunayoenda kujenga inahitaji madawati Naomba tufanye kazi nawewe katika hii fursa. Tuangalie namna japo kidogo tukuwezeshe. Tunasema Karibu Kisarawe Ukae. Kisarawe Kunogile. Tunasema Samahani kwa kukwazika lakini zaidi Asante Sana kwa kushiriki kwenye  #TokomezaZeroKisarawe#ElimuItabakiKuwaJuuKileleni#KisaraweMpya Ubarikiwe!!!!”

ULIPITWA NA MANENO YA WAZIRI KIGWANGALLA KUWA SAMBAMBA NA PIERRE ‘ANACHEKESHA’? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA.

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

TAGGED: bongoflevanews
Admin March 31, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AUDIO:Waziri Kigwangalla sambamba na Pierre ‘Anachekesha’
Next Article RC Makonda kwa wanaomuunga mkono Pierre (+Audio)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?