Habari za Mastaa

VIDEO: Flora kaongea baada ya kudaiwa kumtorosha Pascal wa BSS Hospitali

on

Baada ya RC Makonda kutoa kauli ya kuhitaji kumsaidia Pascal Cassian aliyekuwa mshindi wa BSS mwaka 2009 baada ya kupata ajali ya gari iliyopelekea kupasuka kwa kibofu na kushindwa kuendelea na majukumu yake na kujiuguza kwa muda mrefu, kuna taarifa ziliendelea mtandaoni zikidai kuwa mwimbaji wa nyimbo za injili Madam Flora na mume wake wamemtorosha mgonjwa huo.

Sasa AyoTV na millardayo.com zimempata Madam Flora na kufanya naye mahojiano kuhusu hilo pamoja na mchango wake kwa Pascal Cassian toka apate ajali. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA ALICHOZUNGUMZA FLORA.

VIDEO: Mke wa Pascal Cassian anaeteseka kitandani “msimuache ateseke”

Soma na hizi

Tupia Comments