Habari za Mastaa

GOOD NEWS: Hamisa Mobeto amepata mtoto wa kiume

on

Mwaka 2017 umeshuhudia mastaa kadhaa wa Bongo wakifurahia kupata watoto, wengine wakifurahia maisha mapya ya ndoa lakini wengine pia sasa hivi nao wanategemea kupata watoto kabla mwaka haujaisha.

Leo August 8, 2017 staa wa mitindo Bongo Hamisa Mobeto ambaye alikuwa mjamzito amepata mtoto wa kiume ambaye amejifungua salama.

Taarifa hizo za Hamisa kupata mtoto zimethibitishwa na mama yake baada ya kupost picha katika Instagram yake na kuandika>>>>”Alhamdullilah mume wangu mie peke yangu.” – Mama Mobeto.

Diamond Platnumz aeleza juu uhusiano wa kimapenzi na Hamisa Mabetto 

Soma na hizi

Tupia Comments