Habari za Mastaa

Ushauri wa Dogo Janja kwa wanawake wa mjini

on

Dogo Janja ameamua kufunguka na kuwapa ushauri wanawake wanaopokea hela kutoka kwa wapenzi wao na kuwataka wawe makini na maisha yao ya baadae na kuwaacha na swali kama wataendelea kupewa hela au kupewa kazi?

Dogo Janja ameandika >>>“Kuna watu wa aina mbili anayekupa hela ya kula na anayekupa kazi upate hela ya kula anaekupa hela ya kula hakutakii mema maisha ya mbeleni siku akikatisha huduma hio utataabika sana ili upate msingi wa kupata hela ya kula. Anayekupa kazi upate hela ya kula”

“Huyu anakupatia msingi mzuri wa maisha yako ya baadae ata asipokuepo hautapata shida ata ukianguka atakupa support sasa uchague upewe hela ama upewe kazi”

Alikiba aongea kijaluo kuhusu harusi yake

Soma na hizi

Tupia Comments