Michezo

Bado siku nne, huyu ndio ataamua hatma ya Yanga vs Simba Taifa DSM

on

Jumapili ya September 30 2018 ndio siku ambayo utachezwa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam, huo ukiwa ni mchezo wao wa kwanza kukutana wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019.

Kuelekea mchezo huo ambao unatajwa kama moja kati ya derby 10 bora Afrika, shirikisho la soka Tanzania TFF limetangaza waamuzi wa mchezo huo, huku muamuzi wa kati akitajwa mwanama Jonesia Rukyaa kutoka mkoa wa Kagera.

JB na Ray “Hata Yanga wao wanajua Simba ana timu bora”

Soma na hizi

Tupia Comments