Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

AyoTV

VIDEO: Baada ya ushindi kivutio kikawa Chibonge Shabiki wa Ngorongoro Heroes

on

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana U-20 Ngorongoro Heroes wameibuka Mabingwa wa CECAFA U-20 kwa kuifunga Kenya U-20 goli 1-0, baada ya Ubingwa huo uwanjani Jinja nchini Uganda kivutio kikawa shabiki wa Taifa Stars Suporter aliyekuja Jinja kuisapoti Ngorongoro.

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments