AyoTV

VIDEO: Bondia Mwakinyo hivi ndivyo anavyojifua kumsubiri Tinampay TZ

on

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ameonesha sehemu ya maandalizi yake kuelekea pambano lake la kihistoria dhidi ya bondia wa kiphilipino Arnel Tinampay kutoka kambi ya Manny Pacquiao, Mwakinyo anajifua kupambania kuendeleza rekodi ya kuwapiga wapinzani wake KO Novemba 29 lakini Arnel hajawahi kupoteza kwa KO.

VIDEO: Mpoki alivyomvunja mbavu Rais Mstaafu Kikwete

Soma na hizi

Tupia Comments