AyoTV

Kaseja kajibu kwa hisia “Mungu humpa amtakaye” | Kocha Ndairagije ampa siri

on

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ya wachezaji wa ndani (CHAN) Juma Kaseja baada ya kupambania 2009 timu na kufuzu kucheza CHAN, usiku wa October 18 nchini Sudan aliandika rekodi hiyo tena kwa kuwa sehemu ya kikosi cha Taifa Stars  kilichopata ushindi wa 2-1 (AGG 2-2) na kufuzu CHAN 2020.

Kaseja alikuwa sehemu ya kikosi kilichofuzu lakini hakwenda CHAN 2019 nchini Ivory Coast, Kaseja anarudi Taifa Stars baada ya kuachwa kwa miaka 6, AyoTV ilimuuliza nini kimepelekea awe bora licha ya kuachwa Taifa Stars kwa muda mrefu, Kaseja alitoa jibu la hisia Mungu anampa anayemtaka.

“Tunamshukuru Mungu ili jambo limewafurahisha watanzania wote ilikuwa ni kiu ya wachezaji wote, siri yangu kwanza (Kaseja) alianza kucheza soka katika umri sahihi kingine Mungu anampa anayemtaka na hata walioacha mpira wengi sio kwa kuwa hawana uwezo wa kucheza lakini walilazimishwa kucheza”>>>Kaseja

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments