Video Mpya

VideoMPYA: Ladies & Gents Ommy Dimpoz amekuja tena na hii ‘You Are The Best’

on

Kwenye macho na maskio yako tunaye Ommy Dimpoz kwenye track mpya ya ‘You Are The Best’ ambao umechanganyika na ladha ya Afro Pop pamoja na Kizomba hii ni baada ya ngoma yake ‘Ni Wewe’ kufanya vizuri, ili kuweza kutazama ngoma hiyo bonyeza PLAY hapa chini. 

VIDEO: USHINDI WA TAIFA STARS/ RUBY KUPATA MTOTO/ FLAVIANA NA RIHANNA

Soma na hizi

Tupia Comments