AyoTV

JPM KOROGWE: “Siyo miaka 20 ya Urais, hilo haliwezekani nitaheshimu Katiba”

on

Leo August 7, 2017 Rais Magufuli ameendelea na ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Tanga ambapo leo alikuwa anazindua Stand ya mabasi katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga.

Akiwa katika uzinduzi huo Rais Magufuli aliwahutubia wananchi wa Korogwe akiwaasa kutunza na kulinda miundombinu inayojengwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo hao huku akisema yeye atakaa madarakani kwa muda lakini hawezi kukaa kwa miaka 20 kwa kuwa ni kinyume na Katiba.

Tazama kwenye hii video ina kila kitu alichokisema Rais Magufuli.

Rais Museven anahutubia kwenye uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Bomba la Mafuta

 

Soma na hizi

Tupia Comments