Habari za Mastaa

Good News kwa familia ya DJ Khaled, atangaza ujio wa mtoto mwingine

on

DJ Khaled ametangaza good news kuhusu ujio wa mwanafamilia mpya kwenye familia yao akiwa ni mtoto wa pili baada ya huyu wa kwanza waliyempata miaka mitatu iliyopita ambaye anaitwa Asahd na amekuwa akipewa sana kipaumbele kwenye madili mengi na baba yake.

DJ Khaled ametangaza habari hiyo yenye furaha kwa familia yao kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameanza kwa kumshukuru Mungu na kuelezea jinsi maisha yake yalivyobadilika toka alivyompata mtoto wake wa kwanza Asahd na jinsi anavyotegemea kumpata mtoto wake mwingine wakiume.

DJ Khaled ameandika…>>>God is the greatest.All I ever wanted to do was inspire the world to be great and to leave a legacy. Almost 3 years ago when I found out my queen was expecting our son Asahd I knew my life would change forever and that OUR legacy would soon be on the way. After that blessing I released some of my biggest albums to date (Grateful and Father Of Asahd) inspired by his greatness. Just when I thought life couldn’t get any better, I received another blessing that my queen is expecting an addition to our legacy.

I’m feeling more inspired than ever now. As we go into this journey I’m taking FANLUV along with me to keep the love and blessings flowing to the world ! #FAMILY God is the greatest. MAMA ASAHD ,ASAHD WE GOT ANOTHER ONE !!!!!!!!!!!!!!! ALLAH I LOVE YOU SO MUCH !!!!!
🙏🏽🤲🏽🙏🏽🦁🦁🤰😀❤️🎉 MY QUEEN I LOVE YOU SO MUCH ! ASAHD I LOVE YOU SO MUCH ! And to the little boy in my QUEEN’S BELLY  I LOVE YOU SO MUCH ! #WETHEBEST !”

Ommy Dimpoz kafunguka bata za Marekani na michongo aliyotengeneza kwa mastaa wa huko (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments