Habari za Mastaa

Kwa mara ya kwanza Tekno adondosha ngoma chini ya label yake (+Audio)

on

Fahamu kuwa mwimbaji Tekno kutokea Nigeria ameachia ngoma mpya ya ‘Woman’ leo January 18,2019 ambapo kwa mara ya kwanza ni wimbo ambao upo chini ya rekodi label yake mwenyewe ya CARTEL.

Tekno amekuwa akiachia ngoma zake chini ya record label ya ‘Made Men Music Group’ kwa miaka zaidi ya minne ambapo alisaini mkataba na label hiyo tokea 0ctober 5,2013 inayomilikiwa na Ubi Franklin.

EXCLUSIVE: KIGWANGALA, MR BLUE, HARMORAPA KWENYE MAZISHI YA BABA WA ALIKIBA

Soma na hizi

Tupia Comments