Habari za Mastaa

VIDEO: Meek Mill kwa mara ya kwanza juu ya stage baada ya kutoka jela

on

Rappa maarufu kutokea Philadelphia Meek Mill amefanya show yake ya kwanza Jumamosi April 12,2018 katika club ya Rolling Loud Miami ikiwa tayari ametumikia kifungo cha miezi sita jela baada ya kuvunja sheria za kifungo cha nje (Probation)

Meek Mill alikutwa na hatia ya matumizi ya dawa za kulevya 2007 na kutumikia kifungo cha nje na baadae  akavunja sheria na hivyo kufungwa tena November 6,2017 na kuachiwa huru April24,2018.

BREAKING: Elizabeth Michael ‘LULU’ ameachiwa kutoka gerezani

Soma na hizi

Tupia Comments