Habari za Mastaa

Zari ameeleza mapenzi aliyokuwa nayo ‘Masogange’ kwa watoto wake

By

on

Siku ya April 20,2018 story ambayo ilichukua headlines kwenye vyombo vya habari ni kuhusiana na kifo cha muigizaji na video vixen maarufu nchini Marehemu Agnes Gerald Masogange ambaye umauti ulimkuta katika hospitali ya Mama Ngoma Mwenge Dar Es Salaam

Zari the bosslady ni miongoni mwa mastaa walionyesha kuguswa na kifo cha video vixen huyo ambapo ametumia insta story take na  kuandika ujumbe kwa Marehemu Agnes Masogange.

>>>“Hatukuwa marafiki sana lakini tangu upate namba yangu umekua ukinitumia meseji kila mwezi na hakuna mwezi uliopita haujauliza kuhusiana na watoto wanaendeleaje pumzika kwa amani dada”

MSIBA WA MASOGANGE: Irene Uwoya alivyoangua kilio kuona Mwili wake

Soma na hizi

Tupia Comments