Top Stories

Maagizo Matatu ya Waziri Mpina kwa Katibu Mkuu, ataka yatekelezwe ndani ya wiki mbili

on

Leo February 25, 2018 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ametoa maagizo matatu yanayotakiwa yatekelezwe ndani ya wiki mbili kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dr. Mary Mashingo.

Mpina ametoa agizo hilo wakati wakuzindua madume mapya 11 ya mbegu bora za mifugo katika kituo cha taifa cha uzalishaji wa mifugo kwa njia ya chupa.

Bonyeza PLAY kutazama WAZIRI MPINA akielezea..

Baada ya kifo cha AKWILINA Sheria inasemaje kwa vifo kama hivyo

“Program ya Uzalendo Kwanza ni ya kwangu, Mpoto kadandia Treni kwa mbele” Steve Nyerere

Soma na hizi

Tupia Comments