Habari za Mastaa

List ya nyimbo 20 za CloudsFM Top 20 July 9, 2017 (+Videos)

on

July 9, 2017 kupitia Clouds FM imechezwa midundo 20 ya wiki ambayo kama ulikosa kuisikiliza kupitia Radio millardayo.com inakupa nafasi ya kufahamu ilivyokaa chart na kujua nani amepanda, nani ameshuka na lipi ingizo jipya kwenye chart.

Kwenye chart ya wiki hii kuna maingizo mapya matatu ambayo ni Luis Fonsi, Daddy Yankee ft. Justin Bieber – Despacito, Davido – Fall pamoja na Nandy – Wasikudanganye.

20: Weusi – Ya kulevya

19: Luis Fonsi, Daddy Yankee ft. Justin Bieber – Despacito

18: Nandy – Wasikudanganye

17: Timbulo – mfuasi

16: Davido – Fall 

15: Nedy Music – Dozee

14: Asley – Angekuona

13: Beka Flavour – Libebe

12: Jux – Umenikamata

11: Davido – If

10: Chege & Temba – Go down

9: Coyo – Ziwafikie 

8: Harmonize & Rich Mavoko – Show Me

7: Ray C – Unanimaliza

6: Nyashiski – Malaika

5: DJ Khaled – Wild Thoughts ft. Rihanna, Bryson Tiller

4: Saida Karoli – Orugambo 

3: DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne

2: Young Dee – Bongo Bahati Mbaya

1: Darassa – Hasara Roho

VIDEO: Dakika 18 za AY, Sugu na Black Rhyno kwenye harusi ya Profesa Jay

Soma na hizi

Tupia Comments