Baada ya kufanya kazi nyingi na Producer Baddest47 ambaye sasa ana-hit na ‘Nikagongee’, kutoka green city Mbeya Tros Mashine ameachia ngoma yake ya kufunga mwaka inaitwa ‘Kuzima’ ikiwa ni mkono wa Producer ni Baddest47 tena na Gach B, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.