Michezo

PICHA: Mrembo Naima aliyefunga ndoa na Mbwana Samatta

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa October 10 2019 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Naima Omary, Samatta alifunga ndoa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu wake wachache wa karibu.

Naima na Samatta kabla ya kufunga ndoa walibahatika kupata watoto wawili wa kiume ambaye ni mkubwa na anajulikana kwa jina la Karim na mtoto wa kike, hata hivyo kwa upande wa wachezaji ndoa hiyo ilihudhuriwa na Thomas Ulimwengu, Himid Mao na Faraj Kabaly.

VIDEO: Goli lililoipa Tanzania Ubingwa wa CECAFA U-20 dhidi ya Kenya

Soma na hizi

Tupia Comments