Michezo

Tanzania yazidi kung’aa katika viwango vya FIFA

on

Timu ya taifa ya Tanzania imezidi kuwa na muendelezo mzuri katika viwango vya soka kufuatia kuwa na wakati mzuri kisoka, katika michezo yake iliyocheza hivi karibuni inayotambulika na FIFA.

Katika viwango vilivyotolea na FIFA mwezi September, Tanzania sasa imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya FIFA, awali ilikuwa nafasi ya 135 na sasa imepanda hadi kufikia nafasi ya 133.

Huku majirani Uganda wakiwa nafasi ya 79 na Kenya nafasi ya 108, Ubelgiji anaendelea kuongoza kwa kuwa namba moja wakati Senegal wao wakiwa nafasi ya 20 na kwa upande wa Afrika wao ndio vinara,

VIDEO:CEO WA SIMBA , ALIPOULIZWA HATMA YA AUSSEMS KWAKUTOFIKIA TARGET

Soma na hizi

Tupia Comments