Habari za Mastaa

U-HEARD: Diamond baada ya kudaiwa kushtuka Zari alipoenda kumuona Ivan

on

May 22, 2017 kupitia U-heard ya XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brownametusogezea story inayomuhusu mzazi-mwenza wa Zari,  Diamond Platnumz juu ya mama watoto wake huyo kwenda Hospitali kumjulia hali mume wake wa zamani Ivan.

Akizungumza kwenye kipindi hiko Diamond amesema hana namba ya Ivan lakini alishawahi kuonana naye miaka miwili iliyopita na kuhusu Zari kwenda Hospitali ni sahihi kwa sababu afya yake haikuwa nzuri na kudai kuwa amekuwa akimpigia simu ili kujua hali yake.

>>>“Sijawahi kuwa na namba ya Ivan. Nilikutana naye nilivyoenda MTV last two years. Ivan alikuwa anaumwa halafu hali yake ilikuwa serious sana kwa hiyo huwezi kushadadia kwenye mitandao. Zari ni mzazi mwenzake na ana kila haki kuhakikisha anaenda. Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kumpigia simu kumuuliza anaendeleaje.”– Diamond

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story..

Mose Iyobo na Aunt Ezekiel walivyomfanyia birthday mtoto wao 

Soma na hizi

Tupia Comments