AyoTV

Polisi Dar wameamua, Majambazi 22 ndani ya siku 7…(+Video)

on

Jeshi laPolisi Dar limeendelea na Oparesheni ya kusaka na kuwakamata majambazi wanaotumia silaha pamoja na uhalifu mwingine, Feb 12 Kamanda  wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam Simon Sirro alikutana na waansishi wa habari kuelezea kuhusu hawa 22 walivyokamatwa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments