AyoTV

Prof Tibaijuka aibuka na ufisadi mwingine

on

Mbunge wa Muleba kusini Prof Anna Tibaijuka amefanya ziara katika maendeo mbalimbali jimboni kwake na hapa ilikuwa katika kata ya Ikuza ambapo alibaini kuwapo maafisa uvuvi wanaotuhumiwa kushirikiana na wavuvi haramu kuhujumu uchumi ikiwemo kutoa risiti feki za mapato na kuisababishia Serikali hasara.

Kesi ya kupinga sheria ya huduma ya vyombo vya habari Mahakamani EAC

Soma na hizi

Tupia Comments