Mix

Picha 18 za Dec 11 ulipofikia utekelezaji wa maagizo ya Rais Magufuli Barabara Morocco-Mwenge

on

November 30, 2015  taarifa kutokea Ikulu zilisema kwamba Rais John Pombe Magufuli aliamuru kwamba fedha ambazo zilitengwa kwa ajili ya kugharamia sherehe za siku ya Uhuru December 09 2015 ambazo ni Bilioni nne, zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco iliyopo Dar es salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia za barabara za lami.

ripota wa millardayo.com ametembelea maeneo hayo leo Dec 11, 2015 na kukuta hatua inayoendelea hadi sasa ambapo hizi ndio picha kutokea Mwenge hadi Morocco.

AW1A2700

AW1A2701

AW1A2702

AW1A2703

AW1A2712

AW1A2713

AW1A2714

AW1A2716

AW1A2727

AW1A2730

AW1A2739

AW1A2741

AW1A2743

AW1A2744

AW1A2745

AW1A2746

AW1A2747

AW1A2748

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments